Zanzibar ni mkusanyiko wa visiwa vikubwa viwili vya unguja na Pemba, pia vikipakana pembezoni mwake na visiwa vyengine vidogo vidogo kama Changuu. Misali, Pungume na kadhalika
Zanzibar ni visiwa vinavyopatikana katika bahari ya Hindi, ni visiwa ambavyo vimebarikiwa neema nytingi hususan matunda na nafaka toifauti, pia ina mandahari nzuri kutokana nafukwe zake pamoja na mji wa kihistoria wa mji mkongwe