ZANZIBAR NA MKWAMO WA KISIASA
Baada ya kufanyika kwa uchaguzi wa mwaka 2015, Zanzibar bado imeshindwa kuunda serikali mpya ktokana na mkwamo wa misiasa uliokuja baada ya mwenyekitiu wa Tume ya Uchaguzi kufutilia mbali matokeo yake kutokana na sababu alizoeleza kuwa ni za udangfanyifu
No comments:
Post a Comment